Wazo: mkuu ungeeleza labda matumizi ya kifaa hicho, inawezekana watu wakawa wanajua kwa majina mengine, ikawa rahisi kwa wewe kupata msaada zaidi...
Wana Jf. Naomba mwenye idea ya wapi hizi mashine zinapatikana kwa bei nzuri kwa hapa Tanzania, plz tuwasiliane haraka hapahapa au kwa PM au kwa +260973050218. Msaada wenu tafadhari.