DOKEZO
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 322
- 496
Habari zenu wanajukwaa!
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 32. Kuna tatizo kwenye pumbu yangu ya kulia,nakumbuka toka nakua bado kijana mdogo mara kadhaa ishatokea pumbu yangu ya kulia inavimba na baada ya muda inanywea yenyewe.
Ni wiki ya pili sasa imetokea tena hali ile nikajua ni kawaida yake inavimba after time itarudi katika hali yake ya kawaida, kinachonishtua si kama miaka iliyopita safari hii imezidi kuvimba na imekuwa kubwa zaidi.
Pumbu imekuwa kubwa zaidi na hata nadhani ambayo ni mishipa yake pia imevimba mpaka kwa juu kabisa kwenye maungio.Na sasa hivi nikitembea inavyojigongagonga nasikia tumaumivu flani hivi.
Naombeni msaada wenu kujua tatizo linaweza kuwa nini? ugonjwa gani huu? tiba yake ni nini? wapi inapatikana tiba yenye ubora?. Ahsanteni.