DOKEZO
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 324
- 504
- Thread starter
- #21
Ni kweli nimeshapata ushauri mwingi humu kazi kwangu kuufanyia kazi. Nitaendelea kukupa ushirikiano kwa kujibu maswali yako. Ndie ninae mtoto mmoja, anytime nategemea kupata mwingine.mkewangu ana mimba miezi 8 now.Kumbuka: maswali yangu ndo tiba.
Una mtoto?