Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,606
- 6,756
Wadau nahitaji msaada kuna console ya ps3 nataka kui-Jailbreak ila nimecheza na google naona hola hii ps3 ni....
Ps3 slim CECH-25xx software version ni 4.55, sasa mwenye kufahamu au aliyefanikiwa kwa hili naomba maelekezo.
Ps3 slim CECH-25xx software version ni 4.55, sasa mwenye kufahamu au aliyefanikiwa kwa hili naomba maelekezo.