• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Ulimwengu wa smart tv na vionjo vyake!!!

Popomtata

Popomtata

Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
63
Points
95
Popomtata

Popomtata

Member
Joined Dec 20, 2011
63 95
Natumia Smart TV ambapo humo ndani kama nikitaka kufanya mirroring kuna teknolojia ya Intel®wireless display, ambapo unaweza kuunganisha devices nyingine kama Laptop, tablet, na smartphone: Kwa mujibu wa huduma hiyo unaweza kufanya mirroring kutoka kwa vifaa vyenye Intel widi kama laptop ama kwa smartphone zenye huduma ya WiFi direct pia ni rafiki kwa huduma hiyo! Sasa shida yangu ni kwamba nimejaribu Mara kadhaa kuunganisha smartphone yangu kupitia WiFi direct lakini naishia pale ambapo screen ya TV inaponiandia "enter the following security code" harafu chini ya maelekezo hayo kuna kijimstatili ndani yake kuna maneno yanasomeka "PUSH-BUT" . Sasa shida ni kwamba hainipi code ili niweze kujaza kwa smartphone yangu niweze kuwa connected kwa huduma, kila kitu kinaenda sawa tatizo ni jinsi ya kupata hizo security code! Kama kuna MTU ana ujuzi zaidi kwa masuala haya naomba msaada!
 
BabaTina

BabaTina

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Messages
428
Points
1,000
BabaTina

BabaTina

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2008
428 1,000
Mie natumia Techno C5 nikiunga mirror kwenye Samsung Tv inaconnect moja kwa moja bila.kuomba code yoyote....ila baadhi ya smart tv kama Sony nimeona wanacomplications nyingi na zinabagau saana simu na pia video file flan flan zenye format ambayo bado sijaijua...but for Sumsung...Inatwanga kote kote
 
Mushi92

Mushi92

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Messages
3,922
Points
2,000
Mushi92

Mushi92

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2013
3,922 2,000
@ chief mkwawa @mwal RCT
 
Popomtata

Popomtata

Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
63
Points
95
Popomtata

Popomtata

Member
Joined Dec 20, 2011
63 95
Mie natumia Techno C5 nikiunga mirror kwenye Samsung Tv inaconnect moja kwa moja bila.kuomba code yoyote....ila baadhi ya smart tv kama Sony nimeona wanacomplications nyingi na zinabagau saana simu na pia video file flan flan zenye format ambayo bado sijaijua...but for Sumsung...Inatwanga kote kote
Hiyo Tecno C5 unatumia kupitia WiFi direct ama ina screen cast?
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,953
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,953 2,000
Natumia Smart TV ambapo humo ndani kama nikitaka kufanya mirroring kuna teknolojia ya Intel®wireless display, ambapo unaweza kuunganisha devices nyingine kama Laptop, tablet, na smartphone: Kwa mujibu wa huduma hiyo unaweza kufanya mirroring kutoka kwa vifaa vyenye Intel widi kama laptop ama kwa smartphone zenye huduma ya WiFi direct pia ni rafiki kwa huduma hiyo! Sasa shida yangu ni kwamba nimejaribu Mara kadhaa kuunganisha smartphone yangu kupitia WiFi direct lakini naishia pale ambapo screen ya TV inaponiandia "enter the following security code" harafu chini ya maelekezo hayo kuna kijimstatili ndani yake kuna maneno yanasomeka "PUSH-BUT" . Sasa shida ni kwamba hainipi code ili niweze kujaza kwa smartphone yangu niweze kuwa connected kwa huduma, kila kitu kinaenda sawa tatizo ni jinsi ya kupata hizo security code! Kama kuna MTU ana ujuzi zaidi kwa masuala haya naomba msaada!
hizi technology za wifi zipo nyingi sana, kuna widi, miracast, DLNA, Airplay etc

kwa ufahamu wangu mara nyingi inayodai password ni DLNA na hii ili ikubali inabidi simu na TV viwe kwenye same network.

hio tv inatumia os gani? tuanze hapa.
 
Popomtata

Popomtata

Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
63
Points
95
Popomtata

Popomtata

Member
Joined Dec 20, 2011
63 95
hizi technology za wifi zipo nyingi sana, kuna widi, miracast, DLNA, Airplay etc

kwa ufahamu wangu mara nyingi inayodai password ni DLNA na hii ili ikubali inabidi simu na TV viwe kwenye same network.

hio tv inatumia os gani? tuanze hapa.
TV ni TCL sijajua inatumia os gani na wala sio TCL Roku tv
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,953
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,953 2,000
Sasa nimejua kuwa ni Linux os mkuu! Hebu nisaidieni!
yah na mimi nimeona.

ila sio big issue maana technology ni hizo hizo.

kama ni DLNA inabidi simu na tv viwe kwenye same network, kama tv inatoa password nenda kwenye simu yako kisha angalia kama kuna wifi network toka kwenye hio tv utaconect kisha utaeka hizo password.

kwa DLNA zipo apps nyingi search tu neno DLNA kisha chagua utakayoipenda.

Kwa widi ama miracast utaenda tv iwe on kwenye technology husika, kisha kwenye simu vile vile utaenda kwenye cast na kueka on na kuiangalia kama tv itaonekana. kama huna option ya cast download hii app

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mattgmg.miracastwidget
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
12,905
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
12,905 2,000
Natumia Smart TV ambapo humo ndani kama nikitaka kufanya mirroring kuna teknolojia ya Intel®wireless display, ambapo unaweza kuunganisha devices nyingine kama Laptop, tablet, na smartphone: Kwa mujibu wa huduma hiyo unaweza kufanya mirroring kutoka kwa vifaa vyenye Intel widi kama laptop ama kwa smartphone zenye huduma ya WiFi direct pia ni rafiki kwa huduma hiyo! Sasa shida yangu ni kwamba nimejaribu Mara kadhaa kuunganisha smartphone yangu kupitia WiFi direct lakini naishia pale ambapo screen ya TV inaponiandia "enter the following security code" harafu chini ya maelekezo hayo kuna kijimstatili ndani yake kuna maneno yanasomeka "PUSH-BUT" . Sasa shida ni kwamba hainipi code ili niweze kujaza kwa smartphone yangu niweze kuwa connected kwa huduma, kila kitu kinaenda sawa tatizo ni jinsi ya kupata hizo security code! Kama kuna MTU ana ujuzi zaidi kwa masuala haya naomba msaada!
Umecheki kwenye user manual.
 
Popomtata

Popomtata

Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
63
Points
95
Popomtata

Popomtata

Member
Joined Dec 20, 2011
63 95
yah na mimi nimeona.

ila sio big issue maana technology ni hizo hizo.

kama ni DLNA inabidi simu na tv viwe kwenye same network, kama tv inatoa password nenda kwenye simu yako kisha angalia kama kuna wifi network toka kwenye hio tv utaconect kisha utaeka hizo password.

kwa DLNA zipo apps nyingi search tu neno DLNA kisha chagua utakayoipenda.

Kwa widi ama miracast utaenda tv iwe on kwenye technology husika, kisha kwenye simu vile vile utaenda kwenye cast na kueka on na kuiangalia kama tv itaonekana. kama huna option ya cast download hii app

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mattgmg.miracastwidget
yah na mimi nimeona.

ila sio big issue maana technology ni hizo hizo.

kama ni DLNA inabidi simu na tv viwe kwenye same network, kama tv inatoa password nenda kwenye simu yako kisha angalia kama kuna wifi network toka kwenye hio tv utaconect kisha utaeka hizo password.

kwa DLNA zipo apps nyingi search tu neno DLNA kisha chagua utakayoipenda.

Kwa widi ama miracast utaenda tv iwe on kwenye technology husika, kisha kwenye simu vile vile utaenda kwenye cast na kueka on na kuiangalia kama tv itaonekana. kama huna option ya cast download hii app

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mattgmg.miracastwidget
TV yenyewe inaniambia niingize code lakini code zenyewe haionyeshi na mfumo ninaotumia ni WiFi direct to Widi. Simu inaiona TV ila inataka niweke password tena za mfumo wa WPA/WPA2.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,953
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,953 2,000
TV yenyewe inaniambia niingize code lakini code zenyewe haionyeshi na mfumo ninaotumia ni WiFi direct to Widi. Simu inaiona TV ila inataka niweke password tena za mfumo wa WPA/WPA2.
then itafute hio password, kutakuwa na default password mahala fulani

au alternative jaribu kutumia wifi yako mwenyewe.

tafuta simu ya pili au modem ya wifi ama pc ama router au kifaa chochote kinachoweza kutengeneza wifi, sio lazima kiwe na internet wifi peke yake inatosha,

tengeneza wifi halafu connect simu na tv kwenye hio wifi then zote zikiwa kwenye same network anza kutest upya hizo widi na DLNA kama ipo
 
Popomtata

Popomtata

Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
63
Points
95
Popomtata

Popomtata

Member
Joined Dec 20, 2011
63 95
then itafute hio password, kutakuwa na default password mahala fulani

au alternative jaribu kutumia wifi yako mwenyewe.

tafuta simu ya pili au modem ya wifi ama pc ama router au kifaa chochote kinachoweza kutengeneza wifi, sio lazima kiwe na internet wifi peke yake inatosha,

tengeneza wifi halafu connect simu na tv kwenye hio wifi then zote zikiwa kwenye same network anza kutest upya hizo widi na DLNA kama ipo
Asante mkuu, yaani unamaanisha hata nikiwa na simu ya pili nikaifanya hotspot inaweza kuwa poa.
 
MUSIGAJI

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
1,681
Points
2,000
MUSIGAJI

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
1,681 2,000
hizi technology za wifi zipo nyingi sana, kuna widi, miracast, DLNA, Airplay etc

kwa ufahamu wangu mara nyingi inayodai password ni DLNA na hii ili ikubali inabidi simu na TV viwe kwenye same network.

hio tv inatumia os gani? tuanze hapa.
Chief,ninatatizo kama la huyu ndugu,ninatumia TECNO L8 na nina TV aina ya TCL smart,nimeangaika mno nimeshindwa.Tafadhali mkuu nisaidie nielekeze kwa hatua mkuu.
 
MUSIGAJI

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
1,681
Points
2,000
MUSIGAJI

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
1,681 2,000
hizi technology za wifi zipo nyingi sana, kuna widi, miracast, DLNA, Airplay etc

kwa ufahamu wangu mara nyingi inayodai password ni DLNA na hii ili ikubali inabidi simu na TV viwe kwenye same network.

hio tv inatumia os gani? tuanze hapa.
Mkuu ninawezaje kuifanya Tv na simu kuwa katika same Network?
 
MUSIGAJI

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
1,681
Points
2,000
MUSIGAJI

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
1,681 2,000
Natumia Smart TV ambapo humo ndani kama nikitaka kufanya mirroring kuna teknolojia ya Intelwireless display, ambapo unaweza kuunganisha devices nyingine kama Laptop, tablet, na smartphone: Kwa mujibu wa huduma hiyo unaweza kufanya mirroring kutoka kwa vifaa vyenye Intel widi kama laptop ama kwa smartphone zenye huduma ya WiFi direct pia ni rafiki kwa huduma hiyo! Sasa shida yangu ni kwamba nimejaribu Mara kadhaa kuunganisha smartphone yangu kupitia WiFi direct lakini naishia pale ambapo screen ya TV inaponiandia "enter the following security code" harafu chini ya maelekezo hayo kuna kijimstatili ndani yake kuna maneno yanasomeka "PUSH-BUT" . Sasa shida ni kwamba hainipi code ili niweze kujaza kwa smartphone yangu niweze kuwa connected kwa huduma, kila kitu kinaenda sawa tatizo ni jinsi ya kupata hizo security code! Kama kuna MTU ana ujuzi zaidi kwa masuala haya naomba msaada!
Mkuu ulifanikiwa na Mimi unielekeze?
 
Forum statistics

Threads 1,403,265
Members 531,122
Posts 34,419,182
Top