ps2 zilitangulia kutoka kabla ya ps3,tangu mwanzoni mwa mwaka 2000 ila ps3 zilitoka kwenye miaka ya 2010 hv... ps2 haina storage disk kabisa ila ps3 ina storage hdd za kila aina kama hdd za pc. kwa vile ps2 haina hdd uwa tunatumia flash kama media storage afu unakuwa na chipped ps2 pamoja na memory card ya ps2 yenye programs za kuboot...., ps3 uwa tunaweka moja kwa moja kwenye game ingawa ni lazma ichipiwe pia unaweza kutumia internet ya ps3 kudownload..., faida ps3 ni latest na ndo tunayoitumia sana kwenye biashara bei imesimama 250k+ ps2 ya zaman ila ni bei rahis 100k+,.,, kuingiza games ni 70k+ kwa ps 2 ni 3000 kwa kila game
yaan ni kuipa console ps3 au ps2 uwezo wa kuwa na games ndani yake au kuplay games zaq kudownload bila kutumia CDsasante.
na ku chip ndo kufanyaje maana n neno ambalo nalionaga afu sielew
Mkuu naweza kupata ps3?ps2 zilitangulia kutoka kabla ya ps3,tangu mwanzoni mwa mwaka 2000 ila ps3 zilitoka kwenye miaka ya 2010 hv... ps2 haina storage disk kabisa ila ps3 ina storage hdd za kila aina kama hdd za pc. kwa vile ps2 haina hdd uwa tunatumia flash kama media storage afu unakuwa na chipped ps2 pamoja na memory card ya ps2 yenye programs za kuboot...., ps3 uwa tunaweka moja kwa moja kwenye game ingawa ni lazma ichipiwe pia unaweza kutumia internet ya ps3 kudownload..., faida ps3 ni latest na ndo tunayoitumia sana kwenye biashara bei imesimama 250k+ ps2 ya zaman ila ni bei rahis 100k+,.,, kuingiza games ni 70k+ kwa ps 2 ni 3000 kwa kila game
Ps3 game 70k? La dukani hilo ama mtaani?ps2 zilitangulia kutoka kabla ya ps3,tangu mwanzoni mwa mwaka 2000 ila ps3 zilitoka kwenye miaka ya 2010 hv... ps2 haina storage disk kabisa ila ps3 ina storage hdd za kila aina kama hdd za pc. kwa vile ps2 haina hdd uwa tunatumia flash kama media storage afu unakuwa na chipped ps2 pamoja na memory card ya ps2 yenye programs za kuboot...., ps3 uwa tunaweka moja kwa moja kwenye game ingawa ni lazma ichipiwe pia unaweza kutumia internet ya ps3 kudownload..., faida ps3 ni latest na ndo tunayoitumia sana kwenye biashara bei imesimama 250k+ ps2 ya zaman ila ni bei rahis 100k+,.,, kuingiza games ni 70k+ kwa ps 2 ni 3000 kwa kila game
Price mkuu?yap ipo unapata mzee
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nyongeza ndogo tu kutoka maelezo mazuri ya King, PS2 pad zake zinatumia wire, wakati zile za PS3 ni wirelessasante.
na ku chip ndo kufanyaje maana n neno ambalo nalionaga afu sielew
hata padi za Ps2 wireless pia zipo mkuuNyongeza ndogo tu kutoka maelezo mazuri ya King, PS2 pad zake zinatumia wire, wakati zile za PS3 ni wireless
Oh..kweli mimi bado nipo nyuma. Asante kunijuza
usijali mkuu, tupo pamoja niliwahi kununua padi z Ps2 wireless na nikacheza vizuri bila matatizo yoyote,tupo pamoja mkuuOh..kweli mimi bado nipo nyuma. Asante kunijuza
Hiyo ni ya ukubwa gani?nauza kuanzia 35000 kutegemeana na ukubwa wa hard disk yake
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu, PS3 na XBOX 360 ipi ni nzuri kibiashara? Na ukinunua CD unaweza ukaicopy ktk hiyo internal storage ili usitumie tena CD?ps2 zilitangulia kutoka kabla ya ps3,tangu mwanzoni mwa mwaka 2000 ila ps3 zilitoka kwenye miaka ya 2010 hv... ps2 haina storage disk kabisa ila ps3 ina storage hdd za kila aina kama hdd za pc. kwa vile ps2 haina hdd uwa tunatumia flash kama media storage afu unakuwa na chipped ps2 pamoja na memory card ya ps2 yenye programs za kuboot...., ps3 uwa tunaweka moja kwa moja kwenye game ingawa ni lazma ichipiwe pia unaweza kutumia internet ya ps3 kudownload..., faida ps3 ni latest na ndo tunayoitumia sana kwenye biashara bei imesimama 250k+ ps2 ya zaman ila ni bei rahis 100k+,.,, kuingiza games ni 70k+ kwa ps 2 ni 3000 kwa kila game
Ipo chiped kabisa na Game zake?
xbox 360 nzur kwa biashara coz of pad zake ni ngumu sana ila kwa michezo pendwa sony anayo mingi sana na aina complication kwenye kuwaka kama xbox 360 ila zote zikiwa chipped unaweka downloaded games free mm nnayo hapa xbox 360 nna games zaid ya 60+ humoMkuu, PS3 na XBOX 360 ipi ni nzuri kibiashara? Na ukinunua CD unaweza ukaicopy ktk hiyo internal storage ili usitumie tena CD?
Asante!
Kwahiyo kwa Game moja ndo wafanya kwa 70,000?xbox 360 nzur kwa biashara coz of pad zake ni ngumu sana ila kwa michezo pendwa sony anayo mingi sana na aina complication kwenye kuwaka kama xbox 360 ila zote zikiwa chipped unaweka downloaded games free mm nnayo hapa xbox 360 nna games zaid ya 60+ humo
hyo ni gharama ya kuchip ila games ntakupa nne za offer baada ya hapo ni 15000 kwa kila gameKwahiyo kwa Game moja ndo wafanya kwa 70,000?