Msaada: Process za kupata leseni ya biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Process za kupata leseni ya biashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mpushi, Apr 13, 2012.

 1. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wadau naombeni kujua ni process gan nifuate ili nipate leseni ya biashara
   
 2. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Biashara gani na upo wp?
   
 3. n

  naivasha Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Jamani wana JF nami ninahitaji msaada wa kupata leseni. Nimesajili kampuni, nimepata TIN sasa nahitaji Business License zinazotolewa na wizara ya Viwanda. Naomba maelekezo ya namna au taratibu za kufuata. asanteni
   
 4. w

  white wizard JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  kama umeshapata TIN,nenda ofisi ya biashara ya kwenye halmashauri/manispaa unayotaka kufungulia hiyo biashara utapata fomu ambayo inajumuisha aina tofauti tofauti za biashara,utachagua unayotaka,na kurejesha hiyo form.
   
 5. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asanteni wadau kwa msaada
   
 6. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama utakwama au unataka kuokoa mda wako wasiliana na hawa jamaa watakusaidia fasta;tanzanialifeclub.com
   
 7. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu Naivasha niliongelea kuwa tanzanialifeclub.com wanasaidia hii issue ulikuwa wa kwanza kuponda vipi ungewasiliana nasi ukapata huduma hii na ushauri haraka iwezekanavyo.
   
 8. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  angesaidiwa na lifeclub asingejifunza hizi hatua.
  mie mwenyewe nimeshaandaa memorundum na articles of association naenda brela mwezi May.
  Naapa siwez kuja lifeclub kwa kuwa ntapoteza fursa ya kujifunza ugumu na urahisi wa hatua za usajili n.k
   
 9. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  leseni ya biashara hutelewa bure na halimashauri ya eneo husika, sina hakika kwa habari za wilaya, lakini nadhani wanawajibika kwenda mkoani kupata lesseni hizo. hutolewa na afisa biashara.

  taratibu zake,
  1. unapaswa kwenda kwa afisa biashara aliyekaribu na wewe
  2. utapewa fomu pamoja na kulipia, tsh. 1,000/- tu
  3. fomu hizo utapewa na kuzijaza kuanzia ngazi ya mtaa, kata ndipo kwa afisa biashara wa eneo lako.
  4. ukishatoka hapo, utawajibika kwenda TRA, ambapo wataandaa file lako na kuchukua picha, alama za vidole, na kutathimi kodi unayopaswa kulipia kwa mwaka.
  5. TRA watakupa TIN namba, na utatakiwa kulipa kodi yako at least kwa miezi minne ya mwanzo.
  6. ukisha pata TIN namba, unarudi kwa afisa biashara anakuandikia lesseni ya biashara.

  malipo yanayohusika ni TIN namba pekee kama kodi yako na sh. 1,000/- ya fomu ya maombi ya lesseni ya biashara. kama utadaiwa pesa zaidi ya hiyo, jua hiyo ni rushwa na huyo si mtumishi wa haki, bali ni mtumishi mwovu. unaweza ukaamua kumchukulia hatua stahiki.

  hutolewa bure kabisaa. na wengi tunaingia kwenye skendo ya kutoa hela kwa kuwa hatujui, na wengi tunafanya biashara bila kuzisjaili kitu ambacho ni hatari kwa biashara yako siku ukibainika na ni hatari kwa wateja wako kwani wanawezwa kufunguliwa kesi polisi kukutwa na mali ya wizi.

  linda biashara yako, ni rahisi mno
   
 10. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu mtamaholo asante kwa ufafanuzi mzuri.
   
 11. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  teh teh teh!Hata lifeclub utajifunza mkuu.
  Hakuna ugumu ila tu mfumo wetu umejaa umangimeza ambao haifai kwa biashara ya kisasa.
   
 12. n

  naivasha Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Paxman nimekupata. Tunahitaji kujifunza au kwa maana nyingine tunahitaji kutembea kwa miguu yetu. Sasa mtu unaomba msaada wa maelekezo tu pembeni anadakia mtu hatoi maelekezo bali anadai eti atakufanyia. Huu ni udalali ambao unamuongezea mtz ukali wa gharama za maisha. hoja inaanza vizuri vishoka wanaharibu sio nzuri. Mi nawashukuru wote waliotoa maelekezo ya namna mtu anavyoweza kupata leseni n.k. Mimi yawezekana nina matatizo kwani huwa sipendi kufanya kazi na hawa jamaa middlemen. Asanteni sana
   
 13. m

  majogajo JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mkluu hata mm nimeipata hiyo...good
   
 14. Come27

  Come27 JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2016
  Joined: Dec 1, 2012
  Messages: 3,145
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Hapo nimekupata ingawa pale TRA kuna kuwaga na zengwe sana, Mara mtandao aupo ndio majibu yao lakini wanaotoa pesa wanafanyiwa mara moja
   
Loading...