Wazo zuri mkuu, unaweza kuiandika vizuri article yako, ukaiwekea na vithibitisho vyenye mashiko, ukiingia wikipedia kuna sehem kwenye maada yoyote wanakwambia uambatanishe maoni yako, ukiiweka article yako hapo ndiyo mwanzo wa kuandikwa, vinginevyo jiunge na siasa, ufanye vituko utaandikwa na wengine, nasi tutakusoma wikipedia