Msaada: Printer yangu aina ya EPSON L382 ina tatizo

Msaada: Printer yangu aina ya EPSON L382 ina tatizo

Check Paper kama zipo..
Check Wino kama upo/umekaa vzr

Check kama kuna Paper ambayo imenasia..

Toa wino kisha urudishie..

Ikigoma toa huo wino weka mwingine na ongeza karatasi.

Kama tatzo bado..

Disconnect waya unaopeleka taarif ktk Pc.. Izime hiyo printer ktk ile powe button yake .. ya PSU then Shikilia Power button/RESET button kwa Dk 1/2 HOLD......

Washa.. chek tena

Then angalia kama inafany kaz
Boss naomba mwongoZo jinsi ya kutoa wino
 
Wakuu Mimi nina changamoto kidogo.

Printer yangu Ni cannon, lakini Kila nikiprint karatasi zinatoka blanks, shida Ni nini?? Wino upo sawa. Tena nimebadilisha muda si mrefu Kama wiki moja ilopita
 
Wana JF naomba msaada nina Canon PIXMA g2411 inasumbua blue ink haiprint na nishabadili color header mara 2 (mpyaa)
Lakini natumia miezi miwili TU inasumbua
 
Back
Top Bottom