IrDA
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 745
- 361
Habari wakuu,
Kumekuwepo na lundo la powerbanks madukani,za aina tofauti tofauti.Hii inachanganya sana,hasahasa kwa wengine ambao sio wazoefu katika kutumia powerbanks.
Natumai katika jukwaa hili kuna wazoefu na wataalamu katika vifaa hivi.Hivyo naomba ushauri kwa uzoefu wenu,ni powerbank ipi itakayonifaa kucharge simu yenye 1800mAh,na ambayo inadumu(durability).