Nyinyi watu wa mashambani mna tabu sana, sasa mtu yupo Mwenge unamwambia apande gari ashuke mnazi mmoja kwani hakuna Coaster za Mwenge Posta kupitia palm beach?
Si kila mtu ni mkazi wa gongo la mboto kama wewe, tena hata wewe ukija mjini nakushauri uwe unapanda treni ndio usafiri wa haraka kuingilia mjini.