Msaada: portable Wi-Fi hotsport inagoma

Msaada: portable Wi-Fi hotsport inagoma

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,181
Reaction score
3,115
Kama title inavyojieleza, Mara nyingi nmekua nikitumia internet kwenye PC kwa kutumia tethering hasa hii ya WiFi hotsport,

Sasa majuzi nmebadirisha simu na hapo ndipo tatizo lilipoanzia, kila nikijaribu kuunganisha inagoma.

Kwenye PC inasoma lakin net haipandi, inaload muda kisha inakata .nikijaribu simu zingine zinakubali .

Simu nayotumia ni huawei ascend y 520 .
Msaada tafadhali
 
Nlichange password kabla sijaanza kutumia, lakini nikiunganisha haileti option ya kuweka password
Unatumia windows gani kwenye PC? jaribu kutumia mojawapo ya njia hizi;

1. Badilisha jina la hotspot kwenye simu, halaf jaribu kuunganisha kwenye PC.

2. Futa(forget) hiyo hotspot, zima wireless kwenye PC halafu washa. Baada hapo utaiona tena, utaconnect itakuja sehem ya password. Utaweka na kuendelea.

NB: Hakikisha unauwezo wa kutumia intanet kwenye simu, kabla hujahangaika kwenye PC.
 
Mkuu,pc yangu inazngua kufunguka browser,kama uc browser,chrome,ila microsoft edge na explorer inakubali lakn znakataa kudownload tatzo nn at,na linaweza tatuliwa
 
Unatumia windows gani kwenye PC? jaribu kutumia mojawapo ya njia hizi;

1. Badilisha jina la hotspot kwenye simu, halaf jaribu kuunganisha kwenye PC.

2. Futa(forget) hiyo hotspot, zima wireless kwenye PC halafu washa. Baada hapo utaiona tena, utaconnect itakuja sehem ya password. Utaweka na kuendelea.

NB: Hakikisha unauwezo wa kutumia intanet kwenye simu, kabla hujahangaika kwenye PC.
Asante sana mkuu
 
Naomba kujuzwa options ya WiFi kwenye desktop computer inapatikana wapi? najaribu kuunganisha smartfone na desktop inakuwa ngumu naomba anaye fahamu anijuze steps by steps thanks in advance
 
Desktop za kizaman Network card NIC hazijawa intergrated na Wi-Fi so tumia USB tetharing. Lakin mordern computers zina NIC card inayo support Wi-Fi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom