Msaada: Pointer inajisogeza bila kuguswa

tumlack

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
675
Reaction score
49
Wakuu kuna HP pavilion hapa ina tatizo moja, yani pointer sometimes ina move yenyewe bila kuguswa. Sasa nini itakua solution maana driver naona ziko poa.
 
kama na hili ni tatizo basi pc yangu imebaki kuitupa tu...naana ina matatizo mengi na hilo la pointer kumovr yenyewe ndio sana mpaka niliishazoea
 
Naona HP wana hili tatzo
 
Wakuu kuna HP pavilion hapa ina tatizo moja, yani pointer sometimes ina move yenyewe bila kuguswa. Sasa nini itakua solution maana driver naona ziko poa.

hii issue ya hp
 
ilo tatzo sio la pc bali ni la adapter.....naomba mnielewe hapa sababu ukinisoma kwa juujuu hutanielewa.....ni kuwa wengi wetu tunanunua laptop zikiwa na chaja ambazo hazijafikia nazo (ni hizi replacement adapter from china),zile adapter hazina current iliyo stable au haziendan na pc husika kwahiyo hicho kitu kinaenda kuathiri mfumo wa pointer.....ndo maana mda mwingine ukichomoa chaja unakuta pc inafanga poa
....Suruhisho ni kununua chaja original ya mashine husika....
 
Hilo nalo neno mkuu ngoja nichunguze Hii adapter
 
Back
Top Bottom