gumya
Member
- Mar 4, 2015
- 92
- 22
Wakuu,naomba kujua namna ya kuset Ads za mtindo huu kama zinavyoonekana katika picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
wanakuja mkuu
ninayo adsense mkuu lakin adsense naona kama ina Ads za link na zile za display/image pekeehizo si adsenae za text tupu bila picha? unayo adsense?
kwani hizo pia si za link? au unamaanisha link na description?ninayo adsense mkuu lakin adsense naona kama ina Ads za link na zile za display/image pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mkuu tayar nimefanikiwakwani hizo pia si za link? au unamaanisha link na description?
google adsense text ads utaona sample na namna ya kuziweka.