Habari zenu, bila shaka mpo vyema. Shida yngu ni kwamba jina langu lililosajiliwa 4m4 limekosewa sasa walimu wamesema haiwezekani kubadilisha labda mpaka niende kuapa mahakamani, sasa naogopa kuliacha lilivyo lisije kunisumbua kwa mambo yajayo. msaada wa kufanya tafadhali
Sent using
Jamii Forums mobile app