MSAADA PLZ!!!!

texaz mc

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
371
205
Habari zenu members wote wa JF!
korodani zangu kuna magamba madogo madogo nikiyatoa yanatoka pia sometime nawashwa sana hasa nikioga hali hii imejitokeza hivi karibuni yani najihisi ovyo msaada wa tiba tafadhali!
 
Ni fungus .... Nenda hospital upate uhakika wa aina ya fungi wakusumbuao na tiba sahihi.
 
Ukikuna inauma...pumbu zinakuwa na ngozi ngumu km ganda la muhogo
 
Jaribu kuwa unaziosha na medicated soap...either dettol au protex....halaf punguza kuvaa boxer au chupi mpk zipone
 
Back
Top Bottom