Paddy; inaonekena anakuamini sana kwa jinsi alivyofunguka kwako; kwa kutumia trust hiyo hiyo l am sure. Unaweza msaidia kwani kwa kusoma post zako naona u r also a pro-life believer na pia una busara sana; u don't need us!
So do the needful, mpe council ya kutosha na support if u can! Kuna mtu alishauri umuoe it was a good one if u were not married. Support kubwa ni council yake na mama yake, lkn pia ni kumfanya aweze jitegemea. 22yrs ni mdada mkubwa tu!
kwanza nakupongeza sana kwa moyo wa kumsaidia huyo dada,kwa vile unaonekana kujali maisha yake na mtoto wewe nenda kwenye asasi za kijamii zinazolea watoto yatima ukawaeleze situation yote wanaweza kukubali akae na mimba akizaa mtoto wamchukue wao.<BR><BR>lakini swala la kutoa mimba anaweza poteza maisha japo anasema yuko tayari kufa kama angekuwa yuko tayari kufa asinge kueleza<BR>maana alijua akikueleza utamhurumia na kufanya namna ya kumsaidia.pia baadaye anaweza hitaji mtoto na asimpate,damu ya mtoto itamlilia daima na itakuwa ngumu kwake kuwa na furaha ktk maisha yake yote.
..atoe tu na hapa lengo ni kuokoa maisha yake,kwani anaonekana anaweza jimaliza mwenyewe kabla hata mimba haijafika miezi 9..simlaumu sana ktk hili kwani siye wanaume hatuna shetani wala pepo mkuu ndo mana dhambi zingine tunafanya hata kwenye kitabu cha makosa ya kuzimu hazipo,kama hii kukimbia au kukataa mimba hakika inawachanganya sana mabinti kiasi wengi wanakosa hata hamu ya kuishi,sasa why tuwapoteze akati ukitoa hiyo mimba waweza ishi maisha mazuri tu..gdluck mama na natumai kizazi utakitunza vyema..
Mwambie kutoa hiyo mimba kunaweza kukamuua, na majuto hayatomwacha maisha yake yote, kuzaa hakutompa madhara yoyote zaidi ya changamoto ambazo yeyote akijitahidi anaweza akakabiliana nazo.
Michango miningine mizuri imeshatolewa tayari hivyo ningeshauri umpatie copy ya hii thread ajisomee mwenye, na umkumbushe kwamba majuto ni mjukuu.