Mi siwezi mzuia. Ila nataka akitoa mimba wacha itoke na kizazi kabisa. Ili akikosa mtoto baadae na kila atakapoona hana mtoto akumbuke alitoa mimba ikatoka na uzazi.
Kwani Hali yake ya maisha alikua haijui alipokwenda kumvulia huyu bwana nguo bila kinga? Matangazo ya condom mpaka kwenye maguzo ya umeme kusoma hajui hata picha haoni? Mwambie asitoe mimba mama yake alimzaa yeye hakumua vp yeye a toe mimba?
Ungeweza kumuoa wewe na kulea hiyo mimba (fuatilia hadithi ya mange kimambi, ndo maana anampaisha sana babu)
Hongera kwa kuwa na moyo thabiti. All in all muambie anafanya kosa la mama yake kila siku, NGONO NZEMBE!!! Atatoa mimba ngapi kama anateremsha kyupi ovyo?
Ungeweza kumuoa wewe na kulea hiyo mimba (fuatilia hadithi ya mange kimambi, ndo maana anampaisha sana babu)
Hongera kwa kuwa na moyo thabiti. All in all muambie anafanya kosa la mama yake kila siku, NGONO NZEMBE!!! Atatoa mimba ngapi kama anateremsha kyupi ovyo?
Lagaly, since alitaka ku commit suicide kama wakipatikana madaktari regstered 2 wanaweza kukata ushauri ikiwa ni ajili ya kuokowa hali ya kisakologia na uhai wa mwenye mimba. Hii ni sababu hata akizaa anaweza kufanya infanticide. GOODLUCK.
Mwambie, akiitoa mimba hiyo, itamhaunt na hatapata amani kamwe (from the experience). Ila akizaa, she will never feel lonely (from the experience too).
Mungu hakupi mzigo ambao anajua huwezi beba! Na huyo mtoto ni blessing sio laana; amzae na kumpenda atampenda tu sana. Ila akiitoa atakuwa amejilaani mwenyewe, hata akitubu mara ngapi, bado atakuwa anajihukumu mwenyewe!
Sina jinsi ya kumshauri asifanye hicho kitendo! She will never know peace n true happiness, that l much l can say!
Thanks kwa ushauri mzuri, nitaufikisha. Japo yeye anasema ni bora aishi na hiyo guilty ya kutoa mimba kuliko kuiacha. eti mama yake atamwua akijua hivyo. Kwani kama mama yake alipatiwa mimba akaachwa, yeye ndo imeandikwa hawezi kukosea kama mama yake?
Good point, nitaprint hii thread na kumpa asome ushauri wa wadau. Thanks!
pls if u don't mind, ongeza details; how old is a girl, anafanya nini na mama yake anafanya nini pia!
Mtafutie mtu wa kumshauri cha zaidi mshirikishe mama yake maana huku ni kutafuta laana na hata ukinyamaza akitoa akafa we hutakaa kwa amani dhamira yako itakusuta. mimi nimeweza kuzuia mimba kutoka wk iliyopita nilichokifanya niliwaambia watu wake wa karibu japokuwa alikataa nisimwambie mtu akajua imejulikana akaona soo akaacha