Sam Jr official
Senior Member
- Dec 21, 2017
- 119
- 107
Anapost bongo huyo..ingekuwa south angekuwa na dola zaid ya 20clicks 54 dollar moja? hapana hii siyo kazi mmmh!
Hiyo nlitaka kumuuliza inbox kwasababu nilishawahi anzisha thread ya hichi kitu na ckupata majibuMkuu samahani naomba nikusahihishe je dhumuni ya hii thread ni kumuuliza joram Dymisster peke yake au kama ni hivyo ni vizuri ungemcheki private inbox kama dhumuni lako kuuliza mablogger wote umefeli hapo mwanzo coz kuna wengine hawatochangia mawazo kutokana na kumdirect mtu mmoja.
[emoji123][emoji123][emoji123]
Kama mtu anaweza nisaidia majibu anisaidieNgoja unaemtaka aje
mkuu Sijuti fafanua vizuri ni disable kwenye pc au mobile?Mtoa mada kama unatumia blogger nenda kwenye Theme halafu Mobile halafu chagua Disable (hakikisha template yako ni responsive) ukifanya hivyo itadisplay matangazo yote inayodisplay kwa users wa PC hivyo impression zitakuwa nyingi zaidi ya page viewers.
means hapo cpc ni 0.37~0.4.. kama kwa clicks 54, atakua na dollars approx 20 means cpc itakua 0.4..😵😵😵Anapost bongo huyo..ingekuwa south angekuwa na dola zaid ya 20
Achana na google AdSense hamia popadsmeans hapo cpc ni 0.37~0.4.. kama kwa clicks 54, atakua na dollars approx 20 means cpc itakua 0.4..😵😵😵
mkuu adsense ndo kila kituAchana na google AdSense hamia popads
NISAIDIEE KWANZA MIMI NIKUPE LINK YA AFYA THEN NIKUCHECK INBOXKwa CPM yako sio mbaya ,ila jitahidi kuweka content ambazo ni original(ulizotengeneza mwenyewe) au kama ni za kukopi jaribu kubadilisha kidogo usiweke kama zilivyo ,pia jaribu kushare sana kwenye social medias kama ukikwama nicheki 0687 535650 nitakusaidia .
Joram Dymisster kuna tatizo la blog yangu kuhusu pageviews kuwa tofauti sana kwenye blogger na kwenye adsense account hadi nlianzisha thread lakini sikupata jawabu.
Je unajua mbinu za kuifanya blog I perform vizuri kwenye mobile phone?98 % of my viewer wangu wanatoka kwenye smartphone.
Leo nimejaribu kubadili Template lakini bado problem ikawa vilevile,viewers wamefika 1800 kwenye blogger AdSense pageview wako 167 ila impression iko 2179.
Nikasoma tena nikaona mambo http na https.
Mpaka sasa nahaha kutafuta solutions.
REFER:
Compare pageview from blog,then pageview zilizomo AdSense.
Impression zilizoko na Earning.
TATIZO NINI HAPO?View attachment 724285View attachment 724286View attachment 724287
Unahitaji msada gani?NISAIDIEE KWANZA MIMI NIKUPE LINK YA AFYA THEN NIKUCHECK INBOX
ku disable nn?kama ni kudisable mobile view hiyo kitu nishafanyaga toka naanzisha blogMtoa mada kama unatumia blogger nenda kwenye Theme halafu Mobile halafu chagua Disable (hakikisha template yako ni responsive) ukifanya hivyo itadisplay matangazo yote inayodisplay kwa users wa PC hivyo impression zitakuwa nyingi zaidi ya page viewers.