msaada plz plz plz

combra

Senior Member
May 28, 2012
130
31
simu ya ni nokia 5230 ni nitaka kucheza mziki audio inaniandikia "features not supported" wapendwa tatizo litakuwa nini? Yaani inaninyima raha.thank in advance
 
simu ya ni nokia 5230 ni nitaka kucheza mziki audio inaniandikia "features not supported" wapendwa tatizo litakuwa nini? Yaani inaninyima hara.thank in advance

Ni mziki mmoja au ni yote???
 
Hard reset
Enter the code: *#7370# and press Yes to confirm.

ONYO HII ITAFUTA KILA KITU SO BACKUP KWANZA.
 
simu ya ni nokia 5230 ni nitaka kucheza mziki audio inaniandikia "features not supported" wapendwa tatizo litakuwa nini? Yaani inaninyima hara.thank in advance

Kwani hara ndio kitu gani hadi usononeke hivyo??!!
 
kama hizo nyimbo umeziweka hizo nyimbo kwenye memory card basi zihamishe kwenye computer alafu format memory card alafu zirudishe tena...mambo yatakuwa poa...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom