Maelezo yanatia uvivu kukujibu maana inabidi uulizwe maswali kwanza kabla hujajibiwa
iphone yako original?
Kama ni original ilikuwa inaconnect before?
kama ilikuwa inaconnect hivi sasa ina kupa ujumbe gani?
nk
Ili kuwa kwenye nafasi nzuri ya kusaidiwa jaribu kutoa maelezo ya kushiba