Samahani mwenye used cartridge ya hp printer no.21 Ninahitaji.
Nina hp printer moja ya enzi hizo inatumia cartridge ya wino mweusi namba tajwa. Iliyokuwepo iliisha na nimeipoteza. Ila nimegundua leo kwamba printer ni nzima.