Msaada plz: How to use my little cash

vkeisy2006 mpendwa badilisha Avatar yako kama hutojali saaaaaaaana ombi hili
hiyo hapo inaonyesha uko kibishara zaidi ...
samahani kama nitakukwaza

nakuunga mkono mama wa kwanza....ndio maana nobody took her seriously...hii avata niliiona jana usiku mzima nikawa naiwaza...iko ki x-rated..samahani mrembo endapo nimekukwaza...!wanaume tuna shida!
 
nakuunga mkono mama wa kwanza....ndio maana nobody took her seriously...hii avata niliiona jana usiku mzima nikawa naiwaza...iko ki x-rated..samahani mrembo endapo nimekukwaza...!wanaume tuna shida!

AVatar inatia mukshi :).
Natamani kumsadia huyu dada lakini inabidi kwanza avae nguo,abadili hiyo avatar,ananikumbusha kuna mdada alikuja nimpe kazi,ila alivaa kanguo ka kutamanisha hadi mlinzi alimzuia gatini,ilibidi nisimpe kazi,simply alivaa ki-biashara zaidi.
back to the POINT, Laki tano inatosha sana kutengeneza biashara yenye profit of 60% so ndani ya miezi miwili laki tano itakuwa millioni.
but sharti moja tu,abadili avatar
 
Mama, Pole na mambo mengisana yaliyoelezwa na Wakulu kuhusu hiyo AVATAR.. Na wengine bado hawajaLOGIN. Badilisha hiyon avatar kwanza then anza upya! Utasaidiwa tu. HAPA WOTE NI GREAT THINKER.
 
[vkeisy2006;878661]

Avatar yako hii nzuri imetulia nafkr sasa utapata ushauri wa maana
 
Kwa mataji wako naona nikupe deal hapa officen kwangu tuna mahitajia ya vitafunwa kwa wingi kama chapati 60 vitumbua 50 na maandazi 50 kwa kila siku , kama huko tayari nikupe tender hii,nadhani utapata pesa yako nzuri tu.
 
Biashara ya canteen ni babu kubwa... ni vizuri ukaanza kukodisha sehemu kwenye baa, ajiri wapishi wawili weka supu na mtori asubuhi na mchana upike chakula. Jioni weka mchemsho na chips kuku na mishikaki. Biashara ya aina hii utahitaji kati ya shilingi laki tano na milioni moja. Kwa suala la kupata mtaji jiunge na saccos ambapo unaweza kukopa mara tatu ya mafungu yako uliyoweka na wana riba nafuuu. Kila la kheri vkeis2006!
 
Most of successful b'ness people started small, na average walianza kama na 17 ideas ambazo hazikulipa au zilifail, hawaku give up bali wali badili product/ service wanayotoa au pia wali change stategy.
1. start small hiyo laki tano ni enough kwa kuanzia
2.huitaji idea/ product mpya bali unahitaji idea/ product iliyo better
3.do your home work: study every detail of the b'ness, usiingie kichwa kichwa; make informed decisions
4.tengeneza team yenye watu wenye honest na wako tayari ku work hard ktk kipindi cha growth(ukikomaa mwenyewe hiyo ni ajira, sio real b'ness)
5.what is your mission ktk iyo b'ness
6.unajua lolote kuhusu financial education(assets/liability, profit/loss,cashflow/net income, bness expenses/personal expenses. usipojua utakula mtaji then useme umerogwa na jirani. 90% ya bnesses hufa kwa kuwa wamiliki hawajui haya.
7.ongea na wafanya biashara mbalimbali ujue idea zao; tafuta mentor( mtu aliyefanikiwa ktk unalotaka kufanya; unahitaji kocha)
8.Dont be afraid to fail, failure is another way to interlligently begin again( learn from the mistakes,correct and bounce back). THE RICH PEOPLE DONT WORK FOR MONEY. HAKUNA TAJIRI HATA MMOJA DUNIANI ALIYE AJIRIWA. MONEY WORKS FOR THEM. THAT'S WHY THE RICH GET RICHER, POOR AND MIDDLE CLASS STAYS IN DEBT ALL THEIR LIFE.
 
jamani wapendwa toeni basi hayo ma business ideas,mbona hapa hamjachngamkia kama kule kwa pearl.
 
Back
Top Bottom