Msaada plz: How to use my little cash

hiyo avata yako...mmmhuuu!
mi sina idea mpendwa,lkn nina uhakika kipo kitu unaweza kufanya na hiyo pesa,siku zote tatizo sio mtaji bali kupata idea nzuri ya biashara ndio tatizo,ni pesa kidogo sana lkn ukipata biashara nzuri inaweza kuzaa.kuwa makini ktk biashara utakazoshauriwa,itabidi uzichunguze sana la sivyo hiyo pesa inaweza kwisha within a blick.
godluck usikate tamaa mradi una nia mungu akusaidie upate njia.
 
Nimekwazika.....................(msiniulize na nini,jibu lipo dhahiri)

unaona sasa
dah jamani ndo azetu wengine msizitie majaribuni
my applepie am here....yashinde majaribu!! after all kuna nini hapo ....
 
unaona sasa
dah jamani ndo azetu wengine msizitie majaribuni
my applepie am here....yashinde majaribu!! after all kuna nini hapo ....

hahaha Bestlady abiria chunga mzigo wake ...
Hivi inawezekana mzigo ukashushiwa njiani bila muhusika kuwa nataarifa :)
 
kama ni pesa mama cha kukusaidia sina,
Labda nikusaidie tu kukuchagulia jina:
HEARTBEAT CANTEEN
 
vkeisy2006 mpendwa badilisha Avatar yako kama hutojali saaaaaaaana ombi hili
hiyo hapo inaonyesha uko kibishara zaidi ...
samahani kama nitakukwaza
 
vkeisy2006 mpendwa badilisha Avatar yako kama hutojali saaaaaaaana ombi hili
hiyo hapo inaonyesha uko kibishara zaidi ...
samahani kama nitakukwaza

hahaa du,haya mwaya.

fl1 hivi unajua ni kiasi gani nakumiss sister?tokea tuingie phase 2 sijapata kabisa wasaa wakubadilishana mawili matatu na wewe mpendwa wangu!
vipi ile teknlojia yetu inakuonesha matunda yeyote?
 
Mi MEWATA huwa simaindishi kabisaaa mm mgongo mgongo ndo balaa.

hahaaaaaaa lol!! MEWATA!!!

Fide una laana wewe mtoto w akiume au laa ulilogwa na mchawi wako alisha kufaa.
yaani umenivunja mbavu duh!!!
 
bht hiyo MEWATA ina maana gani!nitoe matongotongo

medical women association of tanzania

hiki chama cha madaktari wanawake wanajishughulisha sana na mazoezi ya kupima wanawake kugundua kama wana kansa ya ziwa (ndo maana fidel kasema MEWATA yeye hamaindi)
 
thanx,basi mpwa wetu fidel ana moyo wa mama theresa maana mie nilizani anaongeza mtaji sbb ya kuzimia chakula ya mtoto inayonesanesa kumbe
wala ha-mind hayo mambo.watu wachache sana wana moyo kama wa mpwa wetu.
 
Back
Top Bottom