habari za majukumu wanajamvi, hard disk yangu nikiikonect kwenye pc inasoma ila haifunguki na inaleta ujumbe wa kuformat mara kwa mara, ukitizama property zake zinaonesha free space=0 bit na used space pia ni 0 bit. Naombeni msaada wakuu nifanyeje? shukran
ni external hdd mkuu:A S cry:
Kama una serious anti virus jaribu kuiscan yote then ucheck au explore then copy vitu vyako af uiformat hiyyo kitu
helloo! professional mko wapiiii? pleeeease help!:director::director:
Humu hakuna Special one kama unavyodhani bali tunashirikiana kutafuta soln pale kwenye mkwamo so kuwa na subira!!
Ebu jaribu kwenda My computer---->right click kwenye icon ya hiyo kitu jaribu explore then utuambie kama inafunguka au afu tutakupa solution.
mkuu, nikiiright click haileti option ya ku-explore