Msaada plz hard disck

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
Jamani wandugu mimi compyuta yangu inatumia hard disc ya sata huwa kuna wakati ina waka hard disk zinaonekana lakini ukicheki propartzake inaleta 0 ukizima ina fanya check disck inakuwa fresh lakini kwa sasa inacheki disc lakini hairekebishi nimejaribu kutumia min partition vitu vinaonekana lakini sijui nifanyeje msaada wenu plz asanten
 
Back
Top Bottom