first ladyKila nikijaribu kuangalia yellow page ya Tanzania kwanza siielewi ..inakuwa ngumu kwangu kutoa jibu
nilikuwa natafuta information fulani sikupata
KWA UZOEFU WANGU MDOGO!biashara unayoiplan kuna huyu murzar-oil,na bakhressa,na METL wanafanya.pia wamefika hadi sudan na central africa sasa.we tafuta mtu wa marketing (au yoyote anaeweza ku-penetrate huko) akakusaidie kuchunguza what is happening.
lakini ni vigumu sana kushindana na hawa wa-asia
kwa sasa,ninaona kama METL ameshika sana soko la nje,wakati MURZAL OIL amekamata soko la ndani.....!percentagewise SINA BASES ZOZOTE KWAKWELI.nashukuru mkuu..
najua hawa watu wanahusika
tatizo hata hawa wana import,hwazalishi wenyewe..
nahitaji info pia kuhusu hawa,ni nani anaeshikilia soko
kwa kiwango gani?(which percentage)?
MARKETING MANAGER WA MURZ-OIL tumeshampata!....Kwa soko la mafuta ya kupikia Murza-Oil yupo juu amekamata soko la Congo,Zambia,Malawi, Zimbabwe mpaka Botswana na Kaskazini mwa mipaka ya Tanzania. Huyu ndo mwenye Korie yupo juu sana hata yale mafuta ya Alizeti anatengeneza huyu huyu kwa mafuta bora ya Murza-Oil ni mazuri kuliko ya METL na ndo yenye soko zaidi.
Kuna information nazitafuta kwenye mitandao.....
sizipati,kama kuna mtu anajua ni mitandao ipi
naweza kuzipata naomba msaada tafadhali....
kwanza nahitaji info kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia
kwa Tanzania,Kenya na Uganda.
--ukubwa wa soko(market cap)
--ni kampuni gani zina dominate
--ukubwa wa soko wa miji mikubwa
Dar,Nairobi,Kampala...
--Kwa kiwango gani local productions
ina shika soko kulinganisha na imports??
na kwa ujumla ni biashara ya thamani gani kwa mwaka.???
mwenye kujua anisaidie.....
MARKETING MANAGER WA MURZ-OIL tumeshampata!....
Akitaka mzigo mwingi kama truck 20 anione maana kupata mali ya Murza-oil ni shuhuli wanahudumiwa kwanza wanao fahamika kama sabuni zile za Puff watu huwa wanagombaniana kuzipata ni shughuli pevu.
mimi navyoona kama unataka kufanya biashara hii kama alivyosema Geof hapo juu jikite zaidi kwenye mafuta ya alizeti utafanikiwa maana yanakuja juu sana due to low cholesterol. Kule Singida yanauzwa bei rahisi sana lakini soko hawana. ukiweza kujiestablish hiyo itakutoa mtu wangu.
singida mjini yapo ila ni a bit expensive. kule kiomboi lita ishirini ni elfu kama 20 i think.carmel Singida mjini au Wilayani?