Msaada pls kwa yeyote mwenye idea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada pls kwa yeyote mwenye idea

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by beltomaiko, Sep 8, 2012.

 1. b

  beltomaiko Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajukwaa naomben msaada. Nina friend wangu ananisumbua. Yeye ali make aplication for second round na akaandikiwa adimited jordan university colege. Sasa akichek acount za watu wa first round kwa profile anaona kabisa kwamba your admited some where. There 4 anasema mbona kwake aiandik ivo?
   
 2. nasssen

  nasssen JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 470
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 80
  hiyo ni kwa wote wa second round mkuu....wanaandikiwa tu neno "ADMITTED". Hasiwe na hofu....jordn kwake hukooo.
   
 3. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kama alivyosema mdau hapo juu...ndo keshaenda huko jordan..hawa wa first round ni wote wanaandikiwa kabisa mfano your admitted in......at.....SUA or mzumbe....asihofu mwambie..
   
Loading...