Msaada pls juu ya elimu kupitia " FOUNDATION COURSE ".

georgemugwangala

Senior Member
May 29, 2016
109
21
Ndugu zangu wapendwa,naomba kujua hii foundation course inahusika na nn,na vigezo vya kujiunga na kozi hii ni vp,pia masomo yanayoambatana na kozi hii ni yap?

Kwa anaejua chochote juu ya hili,naomba anisaidie...
Natanguliza shukran zangu kwenu.
 
Back
Top Bottom