msaada pll=z. Samsung S5690

msaada pll=z. Samsung S5690

barakita

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
9
Reaction score
3
Nina simu ya mchina samsung S5690. simu hii inatatizo kwenye internet. kwamfano nikifungua facebook inafunguka mpaka kwenye ile sehemu ya kulogin ila nikisha login ina load afu inakuja message inayo sema "Internal error" afu browser inafunga. Tatizo lingine nikienda kwenye waptrick ninaweza kudownload video na music tu ila siwezi kudownload apps au games hata kama ni za android apk. nikidownload apps au games ina download text. Naombeni msaada wakuu kama kuna uwezekano waku okoa hiki kimeo changu.
 
umesema ni mchina??? Kama mi mchina usitumie settings za INTERNET kuingia FB intead tumia WAP
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom