uliwahi kufanya partition? maana sometime kama ulifanya partion na ukawa na partion mbili yaani ya 20 inamaana hiyo nyingine itakuwa 40. ok kama ni hivyo then ulipo install windows ( xp ) ili format 20gb kuwa drice C na hukuformat hiyo 40gb. hiyvo hiyo 40gb haitaonekana. kama ni hivi ulifanya we can proceed ila kama sio hivi ulifanya then weka maelezo sawa ili yaeleweke