R Robb Member Joined Jan 16, 2013 Posts 61 Reaction score 84 Jan 21, 2013 #1 Habari wana JF,naombeni msaada kwa mtu aliyewai fanya manunuzi na Ebay upande wa hapa kwetu (Tz) wana charge KODI kwa kutumia vigezo gani?, na jinsi ya kupata mzigo wako inakuaje kuaje hapo?, Mwenye maujuzi tunaomba atujuze tusiojua.
Habari wana JF,naombeni msaada kwa mtu aliyewai fanya manunuzi na Ebay upande wa hapa kwetu (Tz) wana charge KODI kwa kutumia vigezo gani?, na jinsi ya kupata mzigo wako inakuaje kuaje hapo?, Mwenye maujuzi tunaomba atujuze tusiojua.