..be patient bhana nani kakwambia hakikusajiliwa and kama ni hivo why tcu imeallocate watu waende pale..?..do u think serikali ina wenda wazimu gan kuwapa mkopo watu wakasome kwenye chuo ambacho hakina sajiliwa?..is it logical? nchi yetu haijaoza kiasi icho dude.though n mbovu!..maybe kama una sababu zingine za kufanya transfer bt sio usajili....nahic labda gharama zao umeziogopa...and habar ya transfer kwa vyuo vya afya ni ngumu rafiki angu...bt inawezekana