Msaada please

youngashley

Senior Member
Apr 26, 2013
159
225
Jinsi ya kuifunga simu kwenye laptop, computers kama security endapo simu itaibiwa.techino L3
 

ndibsjunior

Member
May 27, 2014
25
0
Jinsi ya kuifunga simu kwenye laptop, computers kama security endapo simu itaibiwa.techino L3

Fungua playstore download application inaitwa device manager then una install una register its free bac wwe ikipotea una fungua tu laptop yko unafungua google unaandika device manger itafungua webite unaandka mail yako na jina la device yko itakuonesha ilipo hta ka umeimiss place you can command it to ring ila sharti gps lazima iwe on
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom