Msaada please

Msaada please

aljun raj

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
203
Reaction score
46
Kuna mshikaji wangu mtaani anashndwa kutongoza akiwa mzma, mpaka alewe ndio anatokoza. Nimejaribu kumpa somo lakni wapi anashindwa kabisa, msaada wenu naona utasaidia!
 
mpaka alewe ndo atokoze
khaa sasa si umwambie alewe hivyo hivyo ndo atokoze.
Useless and childish thread
haya mtokozo mwema
 
mpaka alewe ndo atokoze
khaa sasa si umwambie alewe hivyo hivyo ndo atokoze.
Useless and childish thread
haya mtokozo mwema
 
safi tuu...mbona mie nilishakutana na watu kama hao wengi tuu....alcohol inawafanya wasiwe na aibu
 
awatafute wana saikolojia tu kwa ushauri nasaha naona tatizo lake litaisha
 
Mwambie apange siku anywe sana na akichukua mwanamke ndo anakuwa mke wake kabisa badala ya kuwa anaopoa opoa maana mwishowe atapata Ukimwi na pombe zake kichwani.Thanks
 
Back
Top Bottom