Msaada please. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada please.

Discussion in 'JF Doctor' started by Namour, Oct 6, 2012.

 1. N

  Namour Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Wadau nisaidieni hapa eti ukiwa mjamzito mwez mmoja halafu ikatokea ukapata hedhi[MP],inakuwaje hapo kuna tatizo.shukran in advance.
   
 2. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Yap,na ni vizuri ukamwona dactari coz hali hii hutokea baadhi ya watu hasa kutokana na mabadiliko wa homoni baada ya kushika ujauzito,hali hii hukaa kwa miez michache au kipind chote cha ujauzito ila ni tofauti kidogo na hedh ya kawaida kwani hukaa kwa muda mfupi,tatizo hili linaweza kupelekea kuaribika kwa mimba.kwa lugha ya kimombo tatizo hili huitwa "implantation bleeding".ushauri kamuone dactar na utasaidiwa zaidi
   
 3. N

  Namour Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Dah! sababu ni nini?
   
 4. N

  Namour Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  asante nini chanzo/sababu?
   
 5. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  hapa kuna maneno mengi ya kitaalam katika kulielezea hili swala ambayo hutayaelewa,so nenda kwa dactar atakusaidia zaidi,pitia hapaimplantation bleeding occurs during implantation of the egg cell . It occurs towards the end of implantation process.Trophoblast is a highly specialized tissue, which develops from the fertilized egg and surrounds the egg. It attaches the egg to the endometrium and as it is continuously growing it invades the endometrium,so as it eats its way into the endometrium it pulls the egg into the endometrium. The trophoblast also invades the mothers blood vessels and divert her blood to cavities inside the trophoblast. These cavitiesare than filled by maternalblood becoming blood lakes, and most of these lakes are connected. The trophoblast on the outer surface of the egg are thinner and slower growing but also contains cavities that are connectedto other deeper cavities. Some of these outer cavities communicate or open into uterine cavity. Blood that leaks from these cavities are causing implantation bleeding , and it occurs shortly before the egg is completely implanted and completely covered with endometrium.Nenda kamuone dactar
   
 6. N

  Namour Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  asante mkuu nimetoka kwa dactar kanchunguza kaniagiza nkapige utrasound ndo atanpatia matibabu zaid bt anadai imeshaharibika much pain.
   
 7. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  inaonyesha tatizo lako lilikua la muda mrefu,kamwe katika maisha usipende kuchukulia vitu kawaida au kusikiliza maneno ya mtaani especially kipind cha ujauzito,by the way i feel sorry for you.usihofu Muombe Mungu atakupa Mwingine.ni vema ukafanya vipimo kama dactar alivyosema,
   
 8. k

  kim jong un JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  that is miscarriage ikitokea ukapata damu wakati una ujauzito mdogo na bahati mbaya ikawa imeganda hiyo ni dalili mbaya na maranyingi ni spontaneous abortion
   
Loading...