Usinambie unatumia tiGo!
haha cheki toolbars au kama unatumia vpn au proxies ambazo google wameziban mimi lilitokea hilo suala nkafuta vitu hivo apo juu now fresh
nimejaribu ushauri walionipa jamaa wengine hapo juu bila mafanikio, tafadhali nijuze njia ya kufuta hizo proxies na vpn ie. Naomba unipe instructions siyo maelezo, natanguliza shukrani
ok ngoja nkuulize swali ushawahi tumia trick za free internet za humu ndan? Au za site yoyote zilizotaka udownload software?
Angalia hosts file yaho ikoje C:\windows\system32\drivers\etc inawezekana kuna program nayo write some routines ili kublock port 80.
Fungua browser yako halafu copy and paste C:\windows\system32\drivers\etc\hosts kwenye address bar. Select all halafu copy and paste hapa JF ili tuone hosts file yako ikoje na kuona kama kuna tatizo lolote.tafadhani nijuze ni jinsi gani ya kuijua hiyo program na kwa sababu mimi siyo tech guy ningeshukuru kama msaada ungekuwa kwa njia ya instructions kama hivi ingia kwenye my computer bonya hardisc etc etc?????
Fungua browser yako halafu copy and paste C:\windows\system32\drivers\etc\hosts kwenye address bar. Select all halafu copy and paste hapa JF ili tuone hosts file yako ikoje na kuona kama kuna tatizo lolote.