J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,556 Nov 24, 2011 #1 Kuna swali linalonisumbua sana kama kuna mtu anayejua anisaidie. Ni kwa nini wakati wa kushiriki tendo takatifu la ndoa, sehemu iliyo safi hulazimika kutumia kinga wakati sehemu chafu(mdomoni) hakuna kinga yoyote inayotumiwa?
Kuna swali linalonisumbua sana kama kuna mtu anayejua anisaidie. Ni kwa nini wakati wa kushiriki tendo takatifu la ndoa, sehemu iliyo safi hulazimika kutumia kinga wakati sehemu chafu(mdomoni) hakuna kinga yoyote inayotumiwa?
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,233 Nov 24, 2011 #2 Kumbe wewe ni kati ya 50% wanaonuka mdomo? Anyway, chafu na haramu tamu zaidi!
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,974 Reaction score 13,430 Nov 25, 2011 #3 kwahiyo unataka kuwepo na con dom za mdomo? Nalog off
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,556 Nov 25, 2011 Thread starter #4 Washawasha said: kwahiyo unataka kuwepo na con dom za mdomo? Nalog off Click to expand... kama kuna uwezekano huo.
Washawasha said: kwahiyo unataka kuwepo na con dom za mdomo? Nalog off Click to expand... kama kuna uwezekano huo.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,438 Reaction score 166,904 Nov 25, 2011 #5 Kwa Mwigeka, anachoma sana mbuzi, ila tatizo lake wateja wakiwa wengi anachanganya na nyama ya mbwa kidogo.
Kwa Mwigeka, anachoma sana mbuzi, ila tatizo lake wateja wakiwa wengi anachanganya na nyama ya mbwa kidogo.