Habari za wakuu,
Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kufuta baadhi ya attacments kwenye sehemu ACADEMIC QUALIFICATION kwenye RECRUITMENT PORTAL YA UTUMISHI W UMMA maana kuna attachment nimeziattach bahati mbaya nataka nizitoe sasa nashindwa jinsi ya kuziondoa
Msaada wenu please