msaada please

Ing'ang'a

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
1,866
Reaction score
1,284
Wakubwa salamu zenu kwanza.
Naomba kuuliza Ni Kweli Leo Tarehe 05/May 2016, Ndo ilikua mwisho wa kutuma Maombi .
Naomba yule mwenye ufahamu zaidi aje hapa na maelezo please.
Natanguliza shukrani
 
Wakubwa salamu zenu kwanza.
Naomba kuuliza Ni Kweli Leo Tarehe 05/May 2016, Ndo ilikua mwisho wa kutuma Maombi .
Naomba yule mwenye ufahamu zaidi aje hapa na maelezo please.
Natanguliza shukrani


maombi gani sasa
 
Nafikiri ni kuhusu kuapply vyuo...mimi pia i need to know! Someone plz say something
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…