MSAADA please wana JF

MSAADA please wana JF

edinajailos

Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
22
Reaction score
18
Rafiki yangu ana kiasi cha Tsh 24 million anahitaji gari aina ya RAV4( new model); kwa show room za DSM ni eneo gani anaweza kupata gari zuri aina iliyotajwa au kwa anayejua aina nzuri ya gari ambalo inaweza kutembea masafa marefu kwa gharama hiyo hapo juu. Nisaidieni please!!!
 
Copy: Ziggler
 
Last edited by a moderator:
Rafiki yangu ana kiasi cha Tsh 24 million anahitaji gari aina ya RAV4( new model); kwa show room za DSM ni eneo gani anaweza kupata gari zuri aina iliyotajwa au kwa anayejua aina nzuri ya gari ambalo inaweza kutembea masafa marefu kwa gharama hiyo hapo juu. Nisaidieni please!!!

new model huwezi kupata kwa tsh 24M.....
 
Rafiki yangu ana kiasi cha Tsh 24 million anahitaji gari aina ya RAV4( new model); kwa show room za DSM ni eneo gani anaweza kupata gari zuri aina iliyotajwa au kwa anayejua aina nzuri ya gari ambalo inaweza kutembea masafa marefu kwa gharama hiyo hapo juu. Nisaidieni please!!!

Tembelea ofisi za Car Junction, Autorec au Be forward.
Ukifungua website zao utaona simu zao na location za ofisi zao Tanzania.
 
If you need a used car you can get one with half the price na iliopo katika hali nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom