Pole,jaribu kuisupport ukiwa umeichomeka uone kama inaweza kucharge labda kuna loose connection.Option nyingine tafuta mtu mwenye laptop kama yako,tumia charger yake uone je inacharge au utapata message hiyo hiyo.Pia angalia adapter yako hakuna sehemu waya umechubuka au kukatika,kama unaweza piga picha ya adapter weka hapa.Inawezekana kuna waya umelika au umekatika.Toa feedback ili tujue nini kinaendelea.
Zima laptop disconnect battery na adapter afu hold power button kama 30secs ukiwa hujachomeka batery wala charger baada ya hapo rudisha battery na adapter uwashe uone kama bado jaribu ku unstall na kureinstall batter driver
Ukiona hivyo tambua battery ime expire chaji yake lazima iwe direct Kama ukichomoa chaja itazimika. Jaribu kubadilisha battery kama tatizo bado angalia voltage DC ya chaji na laptop kama zinaendana.
Kama unatatizo na maswala ya kompyuta upande wa hardware au software, key za software Au chochote kinachohusiana na kompyuta, simu za Android, iPhone na apple. Nitumie email kupitia mimitena90@gmail.com hakika utapata msaada.