Msaada please, Urgent..!

Msaada please, Urgent..!

Jnkina

Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
57
Reaction score
17
Wakuu simu yangu (Google Ideos) imeji lock baada ya Bwana mdogo kuingiza wrong unlock patterns zaidi ya mara tano, Inanitaka niingize E mail na Password ili kui unlock, lakini tatizo ni kuwa wireless internet iko off. Kama kuna ujanja mwingine naomba mnisaidie.
C.C CHIEF MKWAWA, C6 na wengineo.
 
Last edited by a moderator:
Ifanyie hard reset mkuu kila kitu kitakuwa safi ila kama ulikuwa hufanyi backup huenda baadhi ya data zako zikapotea
 
Mkuu hiyo hard reset naifanyaje!?

Ondoa battery au hakikisha unazima simu kisha bonyeza VOLUME DOWN BUTTON + POWER BUTTON mpaka simu itakapo reboot yenyewe ndo uachie then chagua factory reset, fuata maelezo ya settings baada ya simu kuwa ime reboot
 
Thanks mkuu, japo najaribu inaendelea kunipa the same screen, naendelea kujaribu.
 
Kwani ukiingiza email na password inasemaje? Sio kila wakati kulink na servers lazima kuwe na internet connection. Ni vema kwanza kufanya kile ulichoelekezwa kabla ya kutafuta msaada.
 
Kwani ukiingiza email na password inasemaje? Sio kila wakati kulink na servers lazima kuwe na internet connection. Ni vema kwanza kufanya kile ulichoelekezwa kabla ya kutafuta msaada.

Mkuu Kila nikiingiza Email na pswd inaniambia 'checking' then ina fail. Naendelea kujaribu
 
[h=1]How to Hard-reset your Huawei Ideos/Android U8150-D[/h] you have forgotten your Huawei Ideos unlock password or pattern, you can simply auto-reset and wipe all its previous data. This is called, wiping data or factory resetting.

To do this, follow procedure below:

1. Turn off your Huawei Ideos and remove the memory card
2. Insert the battery back
3. Press the call button (green) + volume up + power button simultaneously.

Your Huawei Ideos u8150-d will start up with a factory reset menu that will allow you to wipe the installed user/ data.

On the menu, just navigate to wipe data/ factory reset option and click okay.

Your Huawei Ideos will be reset and the unlock password and patterns will be removed. Happy hard-resetting! – It really works.

Ondoa battery au hakikisha unazima simu kisha bonyeza VOLUME DOWN BUTTON + POWER BUTTON mpaka simu itakapo reboot yenyewe ndo uachie then chagua factory reset, fuata maelezo ya settings baada ya simu kuwa ime reboot

Hiyo no downlode mode mkuu!

inatakiwa VOLUME UP

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Thanks a lot guys for your help, you guys you rock... I knew it... Thanks Kang
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom