msuya4real
Member
- Oct 14, 2016
- 76
- 27
Simu gan sasa? Nokia tochi, Siemen, Iphone, Samsung, Tecno au simu ya mezani? Au ni model ipi? Tatizo hauko serious na ulichoulza na ndio maana mtu unashindwa pa kuanzia kutoa msaada au ushauri....Naomba mwnye ufumbuzi na hili tatzo anisaidie Simu yangu Inapoteza network yenyewe tu, Unashangaa mnara Wa network uko full Baada ya Muda unaporomoka na kupoteza network kabisa kisha inarudi, Naomba mwenye kujua hili tatzo anisaidie mawazo au nimpate Fundi gani wa kunirekebishia hili tatzo
Simu ni Smartphone Aina ya Lenovo Vibe X2pt5Simu gan sasa? Nokia tochi, Siemen, Iphone, Samsung, Tecno au simu ya mezani? Au ni model ipi? Tatizo hauko serious na ulichoulza na ndio maana mtu unashindwa pa kuanzia kutoa msaada au ushauri....
Jaribu ku clear all saved data katika browser na YouTubeMimi natumia galaxy A3(2015). Shida ipo kwenye Voda, net inasoma H+ lkn haiwezi kufungua website. Whtsapp na fb inafanya. Utube inafungua pia japo kwashid....ikifanikiwa kufungua video nikaipeleka tubemate speed yakupakua inafika hadi 5mbs....faster! Naomba wataalam munisaidie pia!
Asante, ntafanya hivo!Jaribu ku clear all saved data katika browser na YouTube
IMEI zipo kakaHebu angalia IMEI piga *#06#
Kama zipo leta feedback