Godlisten Masawe
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 738
- 283
mkuu nimeenda uko, inaleta incorrect username or password, kibaya zaidi sikumbuki username wala passwordNenda kwenye PC na open ur email via PC kama umesahau pin au password nenda forgot my password ukareset.
Wana Tech habari zenu;
nina samsung galaxy sIII nimesahau sreen lock na email (gmail), ila imeniletea option inasema
"If you forget your Google sign-in details, you can enter your backup PIN to unlock"
hizo back up PIN sina kwasababu hii simu niliinunua mkononi kwa mtu na huyo mtu siwezi onana naye yeye anaishi Nairobi mimi naishi arusha.
kama kuna njia yeyote naweza kuitumia naomba msaada wenu wana jamvi
Ya wizi wewe ndio uliyeiba? hacha undondocha wewe, mimi ni mfanyabiashara, hii simu aliniuzia dada muudumu wa hotel nairobi alikua na mashida yake nikamttatuliaMawasiliano yaliokuwepo leo Tanzania inaskitisha kusema hivyo. Si useme kweli tu, ya wizi?
Ya wizi wewe ndio uliyeiba? hacha undondocha wewe, mimi ni mfanyabiashara, hii simu aliniuzia dada muudumu wa hotel nairobi alikua na mashida yake nikamttatulia