Kweli mkuu jana nilipita mahali nikaona kitenesi nikakumbuka miaka mingi sana nikasema kweli mambo yamebadilika maana hata kuoma watoto wanchezea kitenesi ni nadra sana
Kibaba baba na mama, kombolela, kujificha, rede, mwingine ukiinama unapigwa teke
Basi tugawane na mapato maana inawezekana umepata kazi ya kucheza na watoto wa kizungu. Au unafanya research ya child care!?
Kuwa muwazi mkuu tukusaidie
Umesahau kututangazia uko nchi gani,icje ikawa DRC au sudan kusini.
Nashukuru kwa taarifa mkuu, kwa upande wa ear phone hatumii.Jitahidi kumzuia kwani mionzinya hizi simu siyo nzuru sana kwa watoto especially kutumua ear phone zinaharibu masikio na mtoto anaweza hata akawa kiziwi.
Husda imekujaa mbaka unacheua acid mtoto Wa kike acha chuki utaishia kuwa maskini bure ...
Haya tumejua promo yako kuwa Upo foreign country...
Umesahau kututangazia uko nchi gani,icje ikawa DRC au sudan kusini.
Nashukuru kwa taarifa mkuu, kwa upande wa ear phone hatumii.
Wasalaam JF
Nipo nje ya nchi nataka kufundisha wazungu michezo ya kufurahisha ya kitoto tuliyocheza zamani kama unajua mojawapo niwekee hapa tafadhali iwe ambayo inawezekana kuchezwa ndani ya ukumbi mimi nimeshasahau.
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu.

Tobo bao, Tobo busu, Tobo dole, mseleleko, kidari, bong'oa, kijipikilisha, bunduki za visoda, kuwinda ndege, kusaka, kudandia Magari, kurusha mawe kwenye mapaa ya watu, kujambisha, shikamoo naomba dala, kuoga mvua, kukamata kumbikumbi, kupaisha vishada, Magari ya mbao, kulipua baruti, malani, kuiba karanga, kuchungulia chabo, na kucheza mchezo mmbaya majanini au kwenye majumba mabovu, kucheza kamari.
Kinyuli nyuli
Basi sawa tuma salamuUnaona shida gani kusema umesahau, au hukuwahi kucheza?! Halafu sio kweli kwamba haukumbuki hata mchezo mmoja uliocheza utotoni, halafu hao wazungu wakisema Watanzania tuna very short memory tunakuwa wakali!! Nahisi hiyo itakuwa ni utafiti!!! Mimi ninakukumbushia ule wa baba na mama!!
Husda imekujaa mbaka unacheua acid mtoto Wa kike acha chuki utaishia kuwa maskini bure ...