Kufunga si kazi kazi iko kwenye installation kwa nini usimtafute fundi? Nyie ndo huwa mnapenda kuzirahisisha kazi za watu.We chamsingi mtafute fundi aje akufanyie installation taja location yako mwanajf aliye humu anayemfahamu fundi aliyekaribu nawe utajulishwa pia fuatilia humu humu kuna thread humu zinazungumzia jinsi ya kufunga.
Wakuu leo Nimefunga Satelite Dish langu la 6" ina receiver ya Mediacom. Naomba mnielekeze jinsi ya kuinstall Free Station za hapa kwetu Tanzania. Hapo nimekwama kabisa!
Kufunga si kazi kazi iko kwenye installation kwa nini usimtafute fundi? Nyie ndo huwa mnapenda kuzirahisisha kazi za watu.We chamsingi mtafute fundi aje akufanyie installation taja location yako mwanajf aliye humu anayemfahamu fundi aliyekaribu nawe utajulishwa pia fuatilia humu humu kuna thread humu zinazungumzia jinsi ya kufunga.
kufunga mwenyewe inakuwa vigumu mkuu maana hata fundi mwenyewe huwa anacheza nayo kama masaa mawili hivi. Ila kama umeweza funga na una huhakika umefata instructions na michoro ya kwenye package uliyonunulia fanya hivi. Bonyeza menu nenda antena settings. Chagua intelsat 906. Then kwenye lnb power usiweke kubwa. Mara nyigi weka 5150. Nenda manual search. Mfano weka freq na symbol rate za itv(3643 h 8545) then anza kucheza nalo. Tafuta uelekeo ambapo madishi ya majirani zako yameelekea. Ukifanikiwa kupata hizo itv eatv nacapital. Basi rudi hapa uombe frequence nyingine na ukiziweka niatakuelekeza namna ya kufunga ku bandAkhsante!
namba za simu ni 0752068069 anakufungia na thaicom mkuu