mtoto mpole
JF-Expert Member
- Mar 22, 2010
- 678
- 148
Eti inakuaje ukapata phonebook ya mtu mwingine kwenye simu yako....mfano mimi nina simu samsung s3..then mchumba ana BB.....mara tu unaona kwa contact zangu yaan kwenye simu yangu samsung zipo pia contact za mchumba wangu...hapo sijawahi kuchukua line yake na kueka kwenye simu yangu sijawahi wala yeye kuchukua line yangu kueka kwake...najiuliza je zilihamaje toka kwake kwenye simu yake kuja kwangu....na je kuna anymeans anaeza akawa may be amefanya vitu ili apate communication zangu....help pleaseeee hii inaeza ikawa ni nini?sijui nimeeleweka vizuri?