Msaada please..kwa anayeifahamu bei ya form ya ku-comfirm chuo cha UDSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada please..kwa anayeifahamu bei ya form ya ku-comfirm chuo cha UDSM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Apollo, Sep 7, 2011.

1. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#1
Sep 7, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280
TCU wamenipanga udsm, ningependa kujua bei ya hiyo form ya kujiunga na chuo. Naomba sana kama unajua nijuze na mimi ili nijipange.

2. m

maseno Member

#2
Sep 7, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 11
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Nani kakuambia kuna Form ya Kuconfirm na Inatakiwa Ulipie!! hiv uko sawa kwel ww?

3. Maganga Mkweli

Maganga Mkweli JF-Expert Member

#3
Sep 7, 2011
Joined: Jul 14, 2009
Messages: 2,096
Likes Received: 70
Trophy Points: 145
jamani tuwe waungawana ndio maana akaomba msaada ina maanisha hafahamu. ninavyofahamu mimi hakuna malipo ya fomu za kucpnfirm na huu utaratibu ulitumika kwa wale wenye multiple admission ambayo tcu wameindoa kwa kuchagua watu chuo kimoja tu . la msingi nikujua tarehe ya kufungua chuo ili uweze kupata admission letter yako hilo jambo la maana (tarehe ya kufungua chuo jitahidi kuingia website yao ambayo ni University of Dar es Salaam - Home - kwa maelezo zaidi)

4. tata mvoni

tata mvoni JF-Expert Member

#4
Sep 7, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 540
Likes Received: 2
Trophy Points: 33

endelea na uungwana huu daima si unajua mijitu mingine sijui ikoje mtu anauliza lenyewe linam-attack badala ya kumjibu vizuri.MUNGU AKUBALIKI

5. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#5
Sep 7, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280
hapana ndugu yangu. Kumbe nimemezeshwa sumu. Kunamtu ameniambia ni shilingi 30000 nilichanganya sana. But ningefurahi sana kama ungekuwa mstaarabu na mwelewa kwa hilo.

6. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#6
Sep 7, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280
we acha tu!

7. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#7
Sep 7, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280
nashukuru sana. Mungu akubariki sana. Tena sana.

8. FaizaFoxy

FaizaFoxy JF-Expert Member

#8
Sep 7, 2011
Joined: Apr 13, 2011
Messages: 58,103
Likes Received: 22,143
Trophy Points: 280
Kumbe bado ni kichinchiri, ndio maana unanichanganya kwenye vi post vyako.

9. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#9
Sep 7, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280
heheheee. :) Faiza mimi huwa napenda kale ka ubishi ketu. Hata hivyo ndio kuelimishana huko. Thanx. :)

10. m

maseno Member

#10
Sep 7, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 11
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Nashukuru ndugu, nmekuelewa na ntajitahd..
hakuna kitu km hcho kama ni umepata UDSM Fanya kusubiri Joining Instruction form pamoja na admission Letter na huwa zinaanza kutolewa chuo pale 2 weeks before hamjafungua. First Year mtatakiwa Kureport chuo Jmosi Tar 01/10 kwa ajili ya Regstration.. Ni hayo tuu kwa sasa!! Karibu UDSM Kijana

11. HOYANGA

HOYANGA Senior Member

#11
Sep 7, 2011
Joined: Jun 9, 2011
Messages: 180
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
hamna kitu kama hicho pale UDSM!!!

12. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#12
Sep 7, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280

13. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#13
Sep 7, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,368
Trophy Points: 280

asante sana ndugu. :)

Loading...