Habari ndugu zangu wa Technology!
Simu ya HTC One at&t nikiiwasha inaitaji SIM Network Unlock PIN. Sasa hii unlock code nitaipataje wadau?
Habari ndugu zangu wa Technology!
Simu ya HTC One at&t nikiiwasha inaitaji SIM Network Unlock PIN. Sasa hii unlock code nitaipataje wadau?
Habari ndugu zangu wa Technology!
hapo nilazima upate code njia nyingine si salama unaweza kuizima kbs simu yako..ni pm nafungua kwa code